Madarasa
Awali na msingi, bila A/B kwenye fomu.
BROTHER MARTIN PRE AND PRIMARY SCHOOL
Mwongozo wa kuomba nafasi, fomu zinazoweza kuchapishwa, na taarifa za ada za mwaka 2027.

KUANZA NA HATUA SAHIHI
Fomu zinaendana na Baby Class, Middle Class, Pre-Standard One na Standard One hadi Standard Seven. Stream hupangwa na shule.
Jaza fomu, chagua darasa, weka taarifa za mzazi na pakia nyaraka. Picha za passport zinaweza kupigwa kwa kamera au kuchaguliwa kwenye kifaa.
Fungua fomu ↗Kila darasa lina PDF yake ya kurasa sita. Chapisha kurasa zote sita na ujaze kwa mkono.
Tazama fomu 10 ↓Awali na msingi, bila A/B kwenye fomu.
Picha mbili na cheti cha kuzaliwa.
Maombi na ada vinasubiri uthibitisho wa mwisho.
Panga nyaraka mapema ili fomu ijazwe bila kurudia.
Pakia picha iliyo wazi au PDF.
Jina, simu, anwani na NIDA ya mzazi kwa hiari.
Jaza ikiwa mtoto amewahi kuhudhuria shule nyingine.
Wasiliana na shule uthibitishe nafasi, ada na hatua za mwisho.