Shule ya awali na msingi Miyuji, Dodoma
0765 884 788 brmartinschool2016@gmail.com
SW EN

ELIMU · UDUGU · HUDUMA

Brother Martin Pre & Primary School

P.O. Box 1522 – Dodoma, Tanzania

“Feed the mind, free the child.”

TAARIFA YA SHULE Karibu Brother Martin Pre & Primary School Elimu ya kutwa na bweni inayojenga maarifa, udugu na uwajibikaji.

BROTHER MARTIN PRE AND PRIMARY SCHOOL

Jinsi ya Kuomba Nafasi

Hatua rahisi za kujaza fomu, kuwasilisha nyaraka na kufuatilia ombi.

School campus
01

1. Chagua darasa

Chagua darasa linalofaa kwenye fomu; usichague A/B stream.

02

2. Jaza taarifa

Andika jina la mtoto kama lilivyo kwenye cheti cha kuzaliwa na mawasiliano sahihi ya mzazi/mlezi.

03

3. Ambatanisha nyaraka

Picha mbili za passport na cheti cha kuzaliwa ni muhimu; nyaraka za shule ya awali hutumika inapohusika.

04

4. Tuma na hifadhi rejea

Maombi ya mtandaoni yanatengeneza rejea. Kuweka ombi hakumaanishi nafasi imekubaliwa.

05

5. Hakiki maelekezo ya malipo

Thibitisha ada ya fomu na akaunti za benki na ofisi kabla ya kulipa. Admin pekee ndiye anathibitisha malipo.