01 · MAISHA YA SHULE
Misingi ya taaluma
Taarifa za shule zinataja Kiswahili, English Language, Hisabati, Sayansi, Maarifa ya Jamii na Stadi za Kazi, Uraia na Maadili na maeneo ya mtaala yanayohusu mazingira, sanaa, michezo na historia. Utekelezaji wa mtaala wa kila darasa huthibitishwa na idara ya taaluma.